Wednesday, July 11, 2012

                                           Mtoto wa  Mungu Music Tour
Weusi Company wanatarajia kuanza kufanya tour yao kuweza kujitangazia rasmi kwa mashabiki  wao wanasema wazindua Albam yao inayokwenda kwa jina ''Muziki Mzuri''.Tour iyo itaanza April, na mikoa ambayo watazunguka ni ARUSHA,IRINGA,MBEYA,MOSHI,MWANZA,MOROGORO,SHINYANGA,DAR ES SALAAM,DODOMA na wnasema mwenyenzi mungu akiwasaidia wanaweza kwenda kwenye visiwa vya Unguja na pemba.

No comments:

Post a Comment